JISHINDIE MILIONI MOJA KILA WIKI

Tafadhali weka namba yako ya simu kabla ya kuwasilisha

Tafadhali weka code yako kabla ya kuwasilisha
Tafadhali jaza jina lako kamili kabla ya kuwasilisha
Tafadhali chagua jinsia yako kabla ya kuwasilisha
Tafadhali weka siku ya kuzaliwa iliosahihi
Tafadhali chagua mwezi uliozaliwa kabla ya kuwasilisha
Tafadhali weka mwaka sahihi uliozaliwa
Tafadhali chagua mkoa kabla ya kuwasilisha

Tafadhali kubali vigezo na masharti kabla ya kuwasilisha

Tafadhali kubali vigezo na masharti kabla ya kuwasilisha
Tafadhali weka code yako kabla ya kuwasilisha

Share na marafiki

Share na marafiki

Vigezo na masharti ya promosheni ya “Kilimanjaro World Cup”

 1. Promosheni hii itaanza Mei 11, 2018 na kumalizika Julai 29, 2018. Maombi yatakayoletwa baada ya hapo hayatakubaliwa.
 2. Shindano hili ni kwa wakazi wote wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania isipokuwa wafanyakazi wa Tanzania Breweries Ltd (TBL) pamoja na wakala wao wa Matangazo, PR, familia na ndugu, Washauri, Wakurugenzi, Washirika pamoja na washirika wa kibiashara ya waliotajwa hapo juu.
 3. Washiriki wote wanatakiwa kuwa na umri zaidi ya miaka 18 siku ya kuwasilisha maombi. Washindi watatakiwa kuonyesha vitambulisho halali kama ushahidi wa utambulisho.
 4. Kutakuwa na tiketi kwa washindi 3 kushuhudia mechi za Kombe la Dunia hatua za makundi. Kujishindia tiketi kutoka ya Kombe la Dunia, mshiriki atatakiwa kutembelea kililager.com na kujibu maswali matano (5) kwa usahihi ili kuingia kwenye droo. Iwapo hutapatia maswali yote, una nafasi ya kushiriki tena kila baada ya saa moja. Kila mshiriki atakuwa na nafasi moja tu ya kuingia kwenye droo iwapo ataweza kujibu maswali yote kwa usahihi. Droo itafanyika Mei 18, 2018. Droo itafanyika kwa kupata washindi 3 kupitia mfumo wa kompyuta.
 5. Ili kupata nafasi ya ushindi, mshiriki atatakwa kuwa na Hati ya Kusafiria inayotumika.
 6. Mshindi wa tiketi atahudumiwa (Usafiri, VISA, Malazi na chakula) wakati wote atakapokuwa Urusi.
 7. Kutakuwa na zawadi za pesa taslim za jumla ya Tsh 20,000,000. Kutakuwa pia na washindi wa droo za kila wiki kupitia shindano la chini ya kizibo. Washindi 20 watajipatia Tsh 1,000,000 kila mmoja kupitia M-PESA au fedha taslim kila wiki katika muda wa kampeni ambao utakuwa ni wiki 10.
 8. Kuingia droo ya kila wiki ya pesa taslim, mshiriki atatakiwa kununua bia ya Kilimanjaro Premium Lager ya 500ml na kutuma namba iliyo chini ya kizibo kupitia SMS kwenda 15451 au kupitia kililager.com na wataingia kwenye droo moja kwa moja. Gharama za kawaida za SMS zitatozwa na vifurushi vya mawasiliano havitatumika. Droo itaendeshwa kwa kuchagua washindi kupitia mfumo wa kompyuta.
 9. Kwa kukubali kushiriki, washiriki wote wanakubaliana na vigezo na masharti yaliyotajwa.
 10. Kutakuwa pia na washindi wa papo hapo wa muda wa maongezi ambao ni jumla ya Tsh 25,000,000 kwa washindi 10,000, ambapo kila mmoja atapata muda wa maongezi wa Tsh 2,500 baada ya kununua bia 6 za Kilimanjaro Premium Lager za 500ml kila siku kwa muda wa wiki 10. Muda huu utatumwa moja kwa moja kwenye simu ya mshiriki.
 11. Washindi wa muda wa maongezi watapatikana baada ya kuingiza namba 6 za bahati kupitia SMS au mtandaoni. Zawadi hii itatolewa mara moja tu kwa siku kwa namba ya mshiriki.
 12. Kama mshindi wa pesa taslim au tiketi hatapatikana kwenye mawasiliano yake kwa muda wa siku 3 mfululizo baada ya siku ya droo, ushindi wake utabatilishwa na kurudishwa kwenye droo.
 13. Si Tanzania Breweries Ltd wala wakala wake wa matangazo, urushaji na PR, au washirika wao wa kibiashara watahusika kwa njia moja ama nyingine kwa upotevu, uharibifu au gharama zitakazotokea kwa mshiriki wa droo kwa zawadi husika.
 14. Vigezo na masharti haya yanaratibiwa na sheria za Jamhuri ya Muungano ya Tanzania na washiriki wanakubaliana kuhusika moja kwa moja na utaratibu wa Mahakama.
 15. Washindi wanaweza kutakiwa kushiriki kwenye matangazo yanayohusiana na promosheni hii, na hivyo wanawajibika kukubaliana na hili. Washindi hawatakuwa na haki ya malipo au marupurupu kwenye matangazo haya. Matangazo haya pamoja na viambatanisho vyake vyote vitakuwa ni mali ya Tanzania Breweries Ltd na wawakilishi wake.
 16. Mwakilishi wa Tanzania Breweries Ltd ana haki ya kubatilisha au kusitisha kwa muda shindano hili iwapo kutatokea sababu zitazopelekea kufanya hivyo.
 17. Tanzania Breweries Ltd pamoja na wakala wake hawatahusika na usumbufu utakaotokea wakati wa kuwasilisha maombi ya kushiriki kwenye shindano hili.
 

JISHINDIE MILIONI

Tafadhali weka code yako kabla ya kuwasilisha

Share na marafiki